bou_1ki_text_reg/18/30.txt

1 line
494 B
Plaintext

\v 30 Baada ya aho Eliya akagombeka kwa wantu wose, "Nibaseni," na wantu wose wakambasa. Nae akagosoa ila mazabahu ya BWANA ambayo ne ibanika. \v 31 Eliya akadoa maiwe kumi na mbii, Kia iwe dimwe diwakilisha kabia, dimuse da wana wa Yakobo ni kwembokea kwa Yakobo kwamba neno la BWANA deza, dikamba, "Zina dako n'ndadiwe Izilaeli." \v 32 Kwa kutumia ayo maiwe akaizenga ida mazabahu kwa zina da BWANA na akafuka mgimba kuizunguuka ida mazabahu nkuu kiasi cha kwenua lita kumi na shano za mazi.