bou_1ki_text_reg/04/07.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 7 Seemani kawa na maakida kumi na waidi uanga ya Izilaeli yose, wekuao waavya nkande kwa mfaume na wantu wakwe wose. Kia mwooneka kawa na zamu ya kuhudumia kwa mwezi umwe kwa mwaka. \v 8 Mazina yao yawa aya: Beni Huli, kuawa miima ya Eflaimu, \v 9 Beni Dekeli ya makazi, Shaalibimu, Besi shemeshi na Elonbe Hanaan; \v 10 Beni Hesed, wa Alubosi (kuawa hakwe akapatikana sokohi nahosi yose ya Hefa);