bou_1ki_text_reg/03/18.txt

1 line
458 B
Plaintext

\v 18 Ikaawi siku ya ntatu baada ya kuvyaa na yeye akavyaa Tiwa swiswi tu. Nkahokuwa na mntu mtuhu yeyose mwe nyumba yetu, iya swiswi waidi mwe iyo nyumba. \v 19 Iya mwana wa mvyee uyu kaumbwa mzimu ukati wa kiyo, kwa ajii kamgonea. \v 20 Kwa iyo akenuka ukati uo wa kiyo cha manane akamdoa mwanangu kuawa npembeni yangu, ukati mie mtumishi wako nkinati ni usisiza, akamgoneza mwe kifua chakwe, na akamgoneza mwanawe mwe kuumbwa mzimu uwanga ya kifua changu.