bou_1ki_text_reg/07/23.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 23 Vituhu akagosoa bahali ya kusubu yenye mita 2.3 kuawa npembo inu hadi ntuhu, kimo chakwe mita 46, mzunguko wakwe mita 13.7. \v 24 Na si ya ida bahali, kuwa na visompho vyekuzunguukavyo, viwa visompho kumi na nane mwe kia mita, vyekuikwavyo kia pkipande wakati bahali ihehi.