bou_1ki_text_reg/07/13.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 13 Mfaume Sulemani akatuma wantu kumweeta Huramu kuawa Tiro. \v 14 Huramu ne ni mwana mjane wa kabila da |Naftali, tati yakwe ne mntu wa Tiro, mfua shaba. Huramu ne nifundi sana kwa vintu vya shaba ne mwenye hekima. Na kaetwa kwa nafaume ili agosoe ndima na vyose vya shaba vya mfaume.