bou_1ki_text_reg/02/24.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 24 Sas basi kana Zumbe ekaavyo ambae nee mwekun'tenda mimi kuwaho nakunenka kiti cha enzi cha Daudi tati yetu na ambae kanigosweea nyumba kwa kiaga chakwe, kwei Adonia lazima akomwe ivyeeo. \v 25 Kwaiyo mfaume Seemani akamtuma Benaya mwana ywa Yehoyada naye akam'bwia Adoniya na kumkoma.