bou_1ki_text_reg/20/01.txt

1 line
385 B
Plaintext

\c 20 \v 1 Beni Hadadi Mfaume wa Shamu akakusanya jeshi dakwe dose hamwe. Nee kuna Wafaume thelasini na mbii wekuao wakamwambiza, na magai na faaasi. akakwea, akaihusuru Samaria na kutoana nayo. \v 2 Akatuma wajumbe kwe mzi wa ahabu Mfaume wa Israeli akamwamba, "Beni Hadadi aamba ivi:- \v 3 Heazako na Dhahabu yako ni zangu. Naho wavyee wako na wanao wada wataana, ivi sasa ni wangu,"