bou_1ki_text_reg/09/26.txt

1 line
343 B
Plaintext

\v 26 Naho Seemani akagosoa jahazi kuda Ezioni Geberi hehi na Elathi mwe ufukwe wa Bahari ya Shamu mwe sii ya edomu. \v 27 Hiramu akatuma watumishi kwe jahazi daa Seemani, mabaharia waimanyayo bahai hamwe na watumishi wakwe Seemani. \v 28 Waito kwa Ofri hamwe na watumishi wa Seeemani. Kuawa uko waeta kaibuni tani 14.5 za dhahabu kwa Seemani.