bou_1ki_text_reg/09/03.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 3 Na Zumbe akamwamba, "Nkizisikia dua zako na maombi yako wekuniombezayo. Nkiitakasa nyumba inu ambayo kuizenga kwa ajii yangu ili niike zina dangu umo siku zose. Meso yangu na moyo wangu wonda uwe umo kwa muda wose.