bou_1ki_text_reg/10/18.txt

1 line
407 B
Plaintext

\v 18 Kisha mfaume neagosoa kiti kikuu cha enzi kwa mpembe na akakisunta kwa dhahabu laini. \v 19 Icho kiti nekiwa na ngazi sita, na chekao chakwe nekiwa na mviingo, Na chekuwa kizungushiwa mikono mpande zakwe zose. Na simba waidi wagooka nkandai mwe mikono. \v 20 Neekuwa na simba kumi na mbii nnewagooka mwe ida ngazi. Mwenga gatigati kia upande wa ngazi izo. Nkakokuwa na kiti kama icho kwe ufaume mtuhu.