bou_1ki_text_reg/10/01.txt

1 line
265 B
Plaintext

\c 10 \v 1 Malkia wa Sheba ekusikiaho uvumi wa Seemani kuhusu zina da waswai magumu. \v 2 Keza Yerusalemu na msafaa mrefu, hamwe na ngamia wekuao wenua mizigo ya manukato, dhahabu nyingi, na maiwe mengi ya thamani, neeamwambiia Seemani yose yekukayo mwe moyo wakwe.