bou_1ki_text_reg/09/06.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 6 Mia ati wonda uhituka weee mwenye au wanao, kwa kwese kutoza amri zangu una maagizo yangu nekukwii kiayo, na ati wonda uite ukaabudu miungu mituhu na kuisujudia, \v 7 Bosi nonda niiorse haa Israel kuawa mwe sii nekuenkwayo, na nyumba inu nekuitakasayo kwa zina dangu nonda niiorse hae mwe mesoyangu, na Israel yonda iwemfano wa kubewa na kutukanwa kwe mataifa yose.