bou_1ki_text_reg/12/28.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 28 Kwa iyo mfaume Yeroboamu akaonda ushauli, akagosoa ndama waidi wa Zahabu akawamba wantu "Ni igumu sana kuita Yerusalemu. Kauwani awa ne miungu ywenu. Ee Isirael, Yekuwaavyayo kulawa sii ya Misii. \v 29 Akamuika yumwe Beyheli na mtuhu Dani. \v 30 Kwa iyo mbui inu ikawa ni Zambi. Wantu wakaita kwa uyo na mtuhu kwa uyo, mhaka Dani.