bou_1ki_text_reg/12/25.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 25 Nee Yeroboamu akazenga Shekemu mwe sii ya miima ya Efraimu ne ekakaa uko. Akalawa uko na kuizenga Penueli. \v 26 Yeroboamu akafikii mwe moyo wakwe, sasa ufaume ondauuye mwe nyumba ya Daudi. \v 27 Kama awa wantu wondawalavye kafaa mwe hekalu da ZUMBE kuda Yerusalemu, basi mioyo ya awa wantu yondaiuye kwa Zumbe yao.