bou_1ki_text_reg/12/12.txt

1 line
433 B
Plaintext

\v 12 Kwa iyo siku ya wantu Yeroboamu na wantu wose wakeza kwa Rehoboamu, kama mfaume ekuwaelekeza mfaume ekuwaelekezavyo akamba, muuye kwangu "Msi wa ntatu" \v 13 Nee mfaume awamba, wada wantu kwa ukali nakupuuza uda ushauri wa wadaa wekumwenkao. \v 14 Akawamba akatongea ushati wa wada Wabwanga akamba tate kawatwisa kogwa diemeado akini mie nndaniongeze kongwa denu, tate kawaazibu kwa mijeedi iya mie nenda niwaazibu kwa visuse."