bou_1ki_text_reg/12/06.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 6 Mfaume Rehoboamu akaonda ushaulii kwa wadaa wekuao wagooka mbele ya Seemani tati yakwe wakati wa uhai wakwe, naye akamba mwanishauli niwambeze awa wantu? \v 7 Nao wakamba." Kama we ondauwe mndima wa wantu awa na kuwatumikia ne akawenka majibu ya mbui ntana ne wiondawawe wanzima wako kae na kae. Mia Rehoboamu akawa bea ushauri ekwenkigwa