bou_1ki_text_reg/11/34.txt

1 line
480 B
Plaintext

\v 34 Hata ivyo. Nkinaniudoe ufaume wose kuawa mwe mkono wa Seemani. Badala yakwe nkimtenda kuwa mtawala mwe misi yakwe yose ya umeso. Wake ya Daudi mndima wangu nekumsaguae, muntu niwekutoza amri na maagizo yangu. \v 35 Mia nndaniudoe ufaume ukiwa sii ya mkono wa mwanawe na nndanikwenke wewe, makabila kumi. \v 36 Kabila dimwe nndanimwenke mwanaywa Seemani, ili kwamba Daudi mndima ywangu endaabaki kuwa nuru mbele yangu uko Yerusalemu, mzi nee nekuusaguao ili niike zina dangu.