bou_1ki_text_reg/10/28.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 28 Seemani kamiliki faasi wekuao wagulwa kuawa Misri na kilikia. Wachuuzi wa mfaume wawagua kwa mbunga, kia bunga kwa bei yakwe. \v 29 Magai yagulwa kuawa Misri kwa shekeli mia sita na hea kia mwenga na faasi kwa shakeli 150 kia mwenga. Vintu vingi kati ya ivi badae vitagwa kwa mfaume wose wa wahiti na Aramu.