bou_1ki_text_reg/01/24.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 24 Nasani akamwamba "Mfaume bwana yangu, "Je weekwamba Adoniya n'ndaatawale nikabinda na n'ndaekae hekiti changu cha enzi? \v 25 kwani ivieo kaseea na kaavya kafaa ya maksi, ndama wekunonao na ngoto wangi na kawakaibisha wana wose wa mfaume, jemadali ya jeshi na Abiatahali kuhani. Nawo wada na kunywa hemeso yakwe uku wamba, "Mfaume Adoniya naekae milele.'