bou_1ki_text_reg/03/23.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 23 Nee mfaume akagombeka, Yumwe asema, "Uyu mgima ni wangu, na kumbe mwanawe nee kuumbwa mzimu na mtuhu naye agombeka: Nkivyo, mwanao ni yuda mwekuumbwa mzimu na mwanangu ni uyu mgima." \v 24 Mfaume kagombeka, "Nietea upanga." Kwa ivyo wakaeta upanga kwa mfaume. \v 25 Naho mfaume akagombeka "Mpange mwana mgima vitii viidi na uyu mvyee enkigwe vitii na yuda mtuhu enkigwe kitii kituhu."