bou_1ki_text_reg/20/31.txt

1 line
477 B
Plaintext

\v 31 Wada watumishi wa Ben Hadadi wakamwamba, Kaua tisikia kwamba wafaume wa nyumba Israel ni wenye rehema, tafadhali hebu tivaeni magunia mwe kigudi na sigi mwe mitwi, na tiite kwa mfaume wa Israel, makati anda aokoe roho yako. \v 32 Kwahiyo wakehamba magunia mwe vigudi na kwesaha sigi mwe mitwii ikabindaho wakaita kwa mfaume wa Islael wakamwamba, "Mndima yako Beni Hadadi, akagombeka, tafazai unibadie ugima wangu" Ahabu akawamba, "Je bado ake mgima? Yeye ni ndugu yangu,"