bou_1ki_text_reg/20/13.txt

1 line
487 B
Plaintext

\v 13 Kauwa, nabii akeza kwa Ahabu mfaume wa Israeli akaamba, "Zumbe amba, "Jee kudiona idi Jeshi kuu? kuawa nonda nidiike mwe mkono wako ivyeo naho wonda umanye kuwa miye ni Zumbe," \v 14 Naye Ahabu akajibu, "Kwa ndai? Zumbe akamjibu akaamba, kwa kuwatumia wabwanga wawatumikiao maliwali wa Wilaya. "Kisha Ahabu akaamba, "Ni ndai ndiye enkhigwe iyo nkondo? Zumbe akamwamba, "wewe" \v 15 Nee Ahabu ekuwaambiavyo wada wabwanga wawatumikiao maliwali wa Wilaya. IOdadi yao nee ni elfu saba.