bou_1ki_text_reg/20/11.txt

1 line
395 B
Plaintext

\v 11 Naye Mfaume wa Istraeli akamjibu akaamba "Mwambieni Beni Hadadi, "nkakuna enuae silaha yakwe, mwendae ajivune enga wakati wa kuiseeza." \v 12 Beni Hadadi ukausikia ujumbe unu ekuwaho akanywa yeye hamwe na Wafalme wekuwao hamwe naye wkuwao kwe mahema yao. Beni Hadadi akayaamuu majeshi yakwe, " Epangeni mwe sehemu zenu kwa ajii ya nkondo." Kwa iyo wakajiandaa kwa nkondo ili kuuvamia mzi.