bou_1ki_text_reg/20/04.txt

1 line
467 B
Plaintext

\v 4 Mfaume wa Israeliakajibu akamba, "Na iwe enga usemavyo, Zumbe yangu Mfaume, mimi hamwe na nenavyo na mai yako". \v 5 Wada wajumbe wakea vituhu wakaamba "Beni Hadadi aamba ivi "Nkituma mbui kwako nikaamba kwamba lazima ukabidhi kwangu hea zako, dhahabu zako, wakazio na wanao. \v 6 Mia kiyoi nonda nituma watumwa wangu kwako wakati kama unu, nao wonda wachunguze nyumba yako na nyumba za wantu mwa wako, nao wonda watoze na kudoa kia wakikundacho mwe meso ya yao.