bou_1ki_text_reg/19/13.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 13 Naye Eliya ekuisikiaho Sauli, akagubika cheni chakwe kwe vazi dakwe, akalawa chongoi, akagooka kwe lango da ido mpango. Na sauti ikeza kwakwe ikagombeka, "Wogosoa mbwai hanu? \v 14 Eliya akutambaisa, "nkiona kinyua sana kwa ajii ya Zumbe, Muungu wa Majeshi, kwa kuwa wantu wa Israeli wadibada agano dakwe. Wazibananga Madhabahu zao, na wawakoma manabii kwa uhamba, sasa ni mimi ikedu kuidoa roho yangu."