bou_1ki_text_reg/17/11.txt

1 line
501 B
Plaintext

\v 11 Naye ekuaho akaita kueta mazi akamwetanga, akamwamba, "tafazali unietee kipande cha mkate mwe mkono." \v 12 Naye akamjibu, "Kana BWANA Zumbe Muungu wako eishivyo, nkhina mkate wowose, akini khonzi mwenga ya uanga mwe chombo na mavuta kidogo mwe nchupa. Kauwa, natema nkhuni mbii ili niite kwemli ka kwa ajii yangu na Mwanangu ili tide tigoje kufa. \v 13 Eliya aka mwamba, Usekuogoha. Hita ukagosowe kana ugombekabyo.akini unigosoee mimi kwanza na unietee. Nae halafu wego sowee wewe na mwanao.