bou_1ki_text_reg/16/25.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 25 Omri akagosoa maovu mbele ya Zumbe na akagosoa yekuwayo maovu kwembosa wada wekuwaho kabla yakwe. \v 26 Kwa via kenda kwe siya zose za Yeroboamua mwana wa Nebati na kwe zamba wakwe izo kawaongoza Waisraeli kugosoa zambi, ili ZUMBE aihiwa, Muungu wa Israeli, ili kuwe na mbifya kwa mizimu yao yesayo kwei.