bou_1ki_text_reg/16/11.txt

1 line
423 B
Plaintext

\v 11 Zimri ekuvoka kutawala, neetu baada ya kwekaa kwe kiti cha enzi, akawakoma ukoo wose wa baasha. Nkekubada mwaka hata yumwe wa kigosi, nkakuna hate wa nduguye wala wa mbuyazwe. \v 12 Nee Zimri kaugagamiza ukoo wose wa Basha, kama ekwembiwavyo na mbui ya Zumbe, ambado dambwa mhitu na Baasha na nabii Yehu. \v 13 Kwa zambi za Baasha kugosoa zambi kiasi cha kuihiwa ZUMBE, ZUMBE Muungu wa Israeli, kukimwa na sanamu zao.