bou_1ki_text_reg/15/20.txt

1 line
491 B
Plaintext

\v 20 Beni Hadadi akamtegeeza mfaume Asa na kuagiiya wekuu wa majeshi yakwe, nao wakaishambulia mizi ya Israel. Wakaishambulia Ijoni, Dani, abeliya Bethi Maaka na Kirerothi yose, hamwe na sii yose ya Naftali. \v 21 Ikabinda Baasha ekusikiayo aya akaeka kuizenga Rama akauya Tizra. \v 22 Ikabinda mfaume Asa akabiikiya Yuda yose nkakuna mwekubadwa wakayenua maiwe na miti ya Rama ambayo Boosha kana akazengea mzi. Ikabinda mfaume Asa akavitumia ivyo vintu kuizenga Geba ya Benyamini na Mispa.