bou_1ki_text_reg/14/25.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 25 Iyawiia kisingi cha mwaka wa shano wa mfaume Rehoboamu aho Shishaki ekuwaho mfaume wa Misri ekeza mhitu na Yerusalemu. \v 26 Akavidoa vihendo vyekuwavyo mwe nyumba ya ZUMBE na vihendo vyekuwavyo mwe nyumba ya mfaume. akadoa kia kintu. viavia akadoa za zahabu zekugosolwazo ni selemani.