bou_1ki_text_reg/11/01.txt

1 line
375 B
Plaintext

\c 11 \v 1 Mfaume Seemina nee atamiwa ni wavyee wangi wa kigeni. Wana wa kivye wa Farao na Wavyee wa Wamoabu, Waamori, Waedomu, Wasidoni na Wahiti - Haya na \v 2 mataifa ambayo Zumbe Muungu nee kawahinya Waisrael kwamba, "Mwesekuwategua, wala wana wenu wakivyee wesekutegulwa, kwa hakika wendawaihitue mioye yenu ili mtongee miungu yao" Mia Seemani nee katamiwa ni ao wavyee.