bou_1ki_text_reg/10/23.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 23 Kwa iyo mfaume Seemani kawazidi wafaume waose mwe ulimwengu igatigati ya utajii na hekima. \v 24 Dunia yose ionda uwepo wa Seemani ili kutegeeza hekima yakwe, ambayo Zumbe kaiika mwe moyo wakwe. \v 25 Na wose wekumtembeleo waiha kodi, vyombo vya hea na vya dhahabu, na nguo na manukato na siaha na farasi na nyumbu, mwaka mpaka mwaka.