bou_1ki_text_reg/10/21.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 21 Vikombe vyose vya kunywea vya mfaume Seemani viwa vya dhahabu. Na vikombe vyose vya kunywia vya ikulu ya mzitu wa Lebani viwa vya dhahabu ntana. Nkahokuwa na kikombe cha hea, kwa maana hea Misi ya Seemani. \v 22 Mfaume nekawa na merikebu za kusafiisha hamwe na merikebu za Hiramu, Maa mwenga kia mwaka merikebu zieta dhahabu, hea, na mpembe za ndovu, hamwe na nyani na tumbili.