bou_1ki_text_reg/10/06.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 6 Akamwambia mfaume," Nikwei, ida taarifa ambayo nkiisikia mwesii yangu uwanga wa maneno yako na hekima yako. \v 7 Shekuamini kia nekusikiacho mpaka nekubuaho aho, na sasa meso yangu yeonea. Hantu nusuu ya viungo na utajii wako! uzidi mbeho ambayo neenkiisikia.