bou_1ki_text_reg/08/44.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 44 Na kana wanthu wako wondawaite kwe nkondo zidi ya mnkuu kwa sia yoyose ndiyo udahe kuwaagia, na kana ndawakuombeze wewe, Zumbe, kuelekea mziunu wekusaguao, na kuelekea nyumba ambayo nkuzenga kwa zina dako. \v 45 Basi tegeeza kuawiia mbinguni maombi yao, dua zao, na uwambize wakundacho;