\v 5 Azalia mwanangwa ya Nasani nee mweku uanga ya awa maakida. Zabudi mwanangwa ya Nasani kawa kuhani na mbuyaye da mfaume. \v 6 Ahishali mwekua mkuu ya nyumba. Adonilamu mwanangwa ya Abda, kawa mkuu ya wagosozi wa dima.