\v 25 Bahali iuawanga ya maksai kumi na mbii, ntatu zakua kaskazini, ida bahali iuanga mwao, na upande wa nyumba wose undani. \v 26 Upana wa- bahali uwa kama mkono, na ukingo wakwe kama wa kikombe, na kama ua da yungi dengia bathi elfumbii za mazi.