\v 15 Seemani kawa na wantu elfu sabini wekua wo wekenua mizigo na wantu elfu semanini wa kutua maiwe miimani; \v 16 kwemboka ayo, kuwa na maakida 3,300 ambao pia wawa wakaigookea iyo.