Mon Dec 07 2020 10:58:33 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)

This commit is contained in:
MAST HoA 2020-12-07 10:58:34 +03:00
parent 3e531ad85a
commit d5bb0d3373
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
Nee ZUMBE amwenuia unkuu Seemani, Hadadi, Mwedomu. Nee akaawa mwe nyuubaya ufaume wa Edomu. Daudi ekuaho Edomu, Yoabu Mkuu wa jeshi nee keuda kuzika, kia muntu ekuwaye akomiwe (kia muntu mwekuko
Nee ZUMBE amwenuia unkuu Seemani, Hadadi, Mwedomu. Nee akaawa mwe nyuubaya ufaume wa Edomu. Daudi ekuaho Edomu, Yoabu Mkuu wa jeshi nee keuda kuzika, kia muntu ekuwaye akomiwe (kia muntu mwekukomwaye). Yoabu na Israeli yose wabakia uko kwa miezi mitandatu ekuwakomaho wose wa Edomu. Mia Hadadi nee kadoigwa ni Waedomu, kumwe na wandima wa tati hadi Misri, tangu Hadadi ekuwaho mwana mteke.