bou_1ki_text_reg/07/03.txt

1 line
353 B
Plaintext
Raw Normal View History

Paa do Ikulu diwa da mwerezi ambado di. uwanga ya magosi. Magosi ayo ya mwe ngazo. Kuwa na nguzo alubaimi na shano, mwe safu kumi na shano. Na mihimili iwa na safu ntatu, na kia diisha dakauwa mweziwe mwe maekiaja matatu. Miango na miimo yose igosolwa kwa mraba na madishayakaua na mwe madaaja matatu. Ikagosolwa baaza ya mita 23, na upana wa mita 14.