swc_jhn_text_reg/01/14.txt

3 lines
285 B
Plaintext

\v 14 Na neno ikagewuka mwili ikaikala ndani yetu, tukaona sita sawa ya sifa ya mutu moja mwenyi anatoka kwa baba, akijazuwa na neema piya kweli.
\v 15 Yohana akatowa ushuhuala wake, akalalamika: yenjo
nilisemaka ; mwnyi kuya nyuma yangu iko mikubuwa kwangu ju alikuwaka mbole yangu.