\v 14 Na neno ikagewuka mwili ikaikala ndani yetu, tukaona sita sawa ya sifa ya mutu moja mwenyi anatoka kwa baba, akijazuwa na neema piya kweli. \v 15 Yohana akatowa ushuhuala wake, akalalamika: yenjo nilisemaka ; mwnyi kuya nyuma yangu iko mikubuwa kwangu ju alikuwaka mbole yangu.